MBATATA/VIAZI VYA NAZI KWA UTUMBO MAHITAJI Mbatata,utumbo,nazi,tungule,vitunguu maji,thomu,tangawizi mbichi,tomato paste,spice uipendayo,ppl,ndimu,chumvi,mafuta kdg,ppl boga,kotmiri. NAMNA YA KUPIKA Kosha utumbo wako vizuri kwa maji ya moto na ndimu ukimaliza uweke jikoni tia thomu tangawizi spices uwache mpaka uive ukaukie ubaki na supu kdg tu,menya mbatata zko ziache jikoni mpka ziwive,kuna nazi yako chujia tui la kwanza tu zito weka pembeni,bandika sfuria yko jikoni tia mafuta kdg kaanga vitunguu maji mpka vilainike weka thomu kaanga weka spices tia tomatoe paste changanya vizuri weka tomatoes ziponde ponde kwa mwiko mpka liwe rosti zito kama kwenye picha then mimina utumbo wako koroga changanya vizuri mimina viazi vyako ulivovichemsha kisha mimina tui changanya wacha kdg mda wa dakika tano mpka vichanganyike vizuri mwsho kabisa tia ndimu chumvi ppl kotmiri na ppl boga changanya wacha kdg kama dakk mbili tu hv then epua tayari kwa kuliwa..tamm zaidi ukila na chapati