mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wale makomandoo wanavunja matofali sijui wako waende huko kibitiAskari kauwawa! Heri wapasakafie tu!
Wale makomandoo wanavunja matofali sijui wako waende huko kibitiAskari kauwawa! Heri wapasakafie tu!
Asante kwa Tarifa! JeezKibitiiiiiiiii !!!God Bless Tanzania!![]()
Hakuna neno sis. I can stand on my own. Tena mimi nazidi kuwatandika na likes tu. Nothing serious here but thanks for giving me a hand [emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mbona Leo mmpania kaka yangu! hahahaha haki ya Mola wangu!
Naona heri wajenge kambi ya jeshi kabisa! Unless kuna kitu wanasubiri! Hii ni insane!Wale makomandoo wanavunja matofali sijui wako waende huko kibiti
Chukua like kwanzawadau vipi
U serious una boa mara nyingine! Vitu kama hivi ndiyo vinaongeza maisha! Maana comments za hii uzi ni comedy tosha!Huu uzi Wa kijinga ila maarufu
This is my life!Goals provide the energy source that powers our lives. One of the best ways we can get the most from the energy we have is to focus it. That is what goals can do for us; concentrate our energy.-Denis Waitley
Sometimes sielewi kabisa serikali sijui afe nani pale ndio washitukeNaona heri wajenge kambi ya jeshi kabisa! Unless kuna kitu wanasubiri! Hii ni insane!