Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.
 
Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.
 
Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.
Naomba kuongea na wewe private. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka hata kwenye mahari uliyotudhulumu nikutetee? Huko nimekutetea kwa vile tuna "tatizo" linalofanana. Jipange umalizie hiyo mahari...Na ni wewe uliyechokonoa hii ishu
Sio mimi nimelianzisha,acha tu nilipe hili deni[emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji233]
 
1. Jiamini
Mafanikio ya kweli yanaanza na wewe. Hivyo, kujiamini ni msingi mzuri utakaokufanya utambue uwezo wako katika kufanya jambo fulani. Amini uwezo wa kufanya jambo hilo uko mikononi mwako. Usijishushe, jipime kwa mengi mazuri unayoweza kufanya, ikatae roho ya kujiona huwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…