Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kupotea siku moja tu naitwa nyuki[emoji22][emoji22][emoji22]Usimjali huyo, ni nyuki wa mashineni
Nice picture walahiView attachment 574837MPOOO NIMEWAMISS
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa tukuyu, mzee wa misambwanda, mzee tupatupa, mzee wa molovee upo kiongozi?
Sent using Jamii Forums mobile app
noma sana kidogo niwaze mshaara umestuck mpaka wa tisa maana vitisho haviishi ahaaa...Hahahahahah
Kitambo sana
Mchanganyiko wa makinikia na bombardier unaweza tengeza bomu.
Shemeji nakusalimu,habari ya uzimaSijui hata umefikiria nini. Binadamu mara nyingi tunatumia madaraka yetu vibaya na hata hatukai na kufikiri kuwa wanyama hawa nao wanahisi maumivu.
HahahahahahaView attachment 574838
Umekuwa hadimu kama shilingi ya mjerumani brother!
madam wangu bado unakonga nyoyo za jf member...Thirteen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona hata nikiondoka kivuli changu kinakusumbua,pole sanaYaan kwakweli mm hapa ndio nshafika. Acha aruke tu ila najua mwisho wa siku atarudi home.
Cc carba, popote ulipo.