Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
O365
We mbona salam nyingi ukiwa na safari huwa unafika kweli si utasalimia barabara nzimaShemeji nakusalimu,habari ya uzima
Vipi hali ya mama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du
Siku hizi hadi uone ATM imesoma ndio unaaamini kweli mshahara ni wako.noma sana kidogo niwaze mshaara umestuck mpaka wa tisa maana vitisho haviishi ahaaa...