Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3763.JPG
 
Siku hizi hadi uone ATM imesoma ndio unaaamini kweli mshahara ni wako.
Muda wowote wanakutaifisha.
ahaaa hapa mtaa kuna jamaa wanamwambia mwnye nyumba jamaa wa vyeti feki huyo mpangaj mzee amin mi ndo mtoto wa mjin bado nina dunda 480k yko tarehe 28 ahaaaaaa sio powa uku akiuza mdomdo makochi hili la vyeti limeacha madnda kitaaa..
 
Back
Top Bottom