Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bf60859c0ecf39c4eace6fe416962179.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye app hata comment iwe na likes elfu moja zinaonekana tano tu. Ukitaka kuona zaidi tumia browser na utaziona zote.

Karibu sana huku mkuu. Utapata likes za kutosha. Na wewe toa za kutosha. Hakuna matusi, ubaguzi, picha chafu wala ugomvi wa kisiasa na dini. Ila kuna utani mwingi na kama hupendi kutaniana basi unaweka wazi. Na kama ni binti usishangae ukitongozwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu sana!!!
Last sentence [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kk anahusika
 
Back
Top Bottom