Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha watajijuuuuUnataka kuleta mauaji wewe [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Upo? Umeona ile rist ya majina aliyotoa my babe andjul? Mm ni namba ngapi vile?Zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mzee wa liverKaribu sana my princess
Haya nimekujaUkimuona nsamaka mwambie namtafutaView attachment 574880na ajiandae
Kk kaa mbali na huyo muhenga aiseeHapana huko nimekuacha wewe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na andjul
Eeeh lipa, dawa ya deni ni kulipaSio mimi nimelianzisha,acha tu nilipe hili deni[emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji233]
Tena tunachagua km yy alivyonichagua mmNg'ombe gani hawa wana vichwa vikubwa na viuno vyembamba kama madume ya siafu? Umewatoa wapi hawa? Watastahimili hali ya hewa ya Shinyanga? Wanaweza kulima? Utoaji wao wa maziwa ukoje?
Tuite tuje tuchague wenyewe siyo hawa vimeo umewafanyia genetic modification waje watudhuru. Ushindwe na ulegee !!!
Bado unamtaja tu?Kweli carba ananiharibia ndoa.Kuna haja ya reform [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Basi zinafanana