Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali hii huongezeka au huendelea hivyo siku hadi siku endapo akili yako itakuwa na msongo wa mawazo.

Maumivu ya kifua na mwili wakati mwingne huwa makali baada ya tendo la ndoa.
Maumivu makali na uchovu hupungua dakika ishirini baada ya kujitokeza, unatakiwa upate muda wa kupunguza na kama ulikuwa unafanya mazoezi uache hadi uonane na daktari wako wa uchunguzi na ushauri.
 
Athari za tatizo
Tatizo hili linaweza kukusababishia matatizo makubwa ya moyo ambapo upande mmoja wa moyo unaweza kufa au ‘myocardial infaretion’ endapo tatizo litaendelea kwa muda mrefu, vilevile unaweza kukutwa na mauti ghafla kwa shinikizo au mshtuko wa moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…