Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mimi ni mlinzi wa JF! Niko nje, wala sijaingia ndani. Mlinzi makazi yake nje aisee!
 
Changanya hizo zote vizuri na kisha moja ya nne ¼ ya kikombe cha white vinegar katika mchanganyiko huo.Lowesha sehemu ilioathirika na vinegar kwa dakika chache kisha pakaa ule mchanganyiko kwenye hiyo sehemu tumia pamba na kisha ifunge hiyo pamba kwenye hiyo sehemu iloathirika kwa fangasi.Tumia njia hii kila baada ya saa 10 kwa muda wa wiki nne.
 
NJIA 10 KUU ZA KUTIBU FANGASI YA KUCHA.
6:09 AM // by Kalma Ally // No comments

Fangasi ya kucha,hujulikana kama onychomycosis ni tatizo sugu linalowakumba wanawake hata wanaume pia.Dalili zake inflammation,kuvimba,maumivu ya hali ya juu,kucha kusinyaa au kuwasha Visababishi vingine ya fangasi ya kucha ni kuvaa synthetic socks,kuwa katika mazingira ya unyevu nyevu,PH level ya ngozi kuwa sio kawaida,mfumo wa immune system mdogo,viatu vyenye majasho,uchafu,na kisukari.
Kama fangasi ya kucha haitachukuliwa tahadhari mara kwa mara huweza kusababisha kukatika kwa kucha,splitting,na hata kuimaliza kucha na kutoka kabisa.well,habari nzuri ni kwamba fangasi ya kucha hutibika bila hata ya kutumia pesa kwa bill za dawa.Kuna njia za kufanya zinatibu fangasi kwa mwezi au miezi miwili.
Njia kuu 10 za kutibu fangasi ya kucha.
1.Tea tree oil
Tea tree oil ina antiseptic kama zilokuwemo kwenye fungicide ambayo husaidia sana katika kutibu aina hii ya fangasi.Haya mafuta hutumika kutibu athari katika ngozi pia.Kama unatatizo la aina hii ya fangasi ,chukua tea tree oil yenyewe tumia pamba pangusia mafuta hayo katika sehemu ilo athirika acha kwa dakika 10 kisha mswaki kwa kusugulia kwenye hiyo sehemu yenye fangasi.Kabla ya kupakaa mafuta hayo kwenye ngozi,yachanganye na olive oil sawa na kiasi cha tea tree oil au tumia thyme oil.Hutibu fangasi kama sio ya muda mrefu au iliokomaa,au sugu.





2. Baking soda
Baking soda ni rahisi kupatikana nyumbani hutibu fangasi pia.Chukua kikombe nusu cha baking soda,vikombe vinne vya maji moto,moja ya nne ¼ ya kikombe cha peroxide na nusu kikombe cha chumvi ya Epsom.Changanya hizo zote vizuri na kisha moja ya nne ¼ ya kikombe cha white vinegar katika mchanganyiko huo.Lowesha sehemu ilioathirika na vinegar kwa dakika chache kisha pakaa ule mchanganyiko kwenye hiyo sehemu tumia pamba na kisha ifunge hiyo pamba kwenye hiyo sehemu iloathirika kwa fangasi.Tumia njia hii kila baada ya saa 10 kwa muda wa wiki nne.




3.Mafuta ya machungwa
Njia nyingine ni kutumia mafuta ya machungwa.Aina zote za machungwa ni antifungal nayo huweza kutibu fungasi.Kwa kudondoshea kitone cha mafuta hayo kila siku katika hapo penye fangasi,juu,chini na katikati ya kucha na iache kwa saa moja.
 
20838681_2009995392566648_5721334692439916544_n.jpg
 
Back
Top Bottom