Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0d3ab6a4f75bbf77805f640e3bf9b968.jpg
 
Morning brother. Naona malkia ISIS ameaka na afya njema,sura yenye bashasha tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zamani tulikuwa tukienda Zuzu tulikuwa tuna vua sana vikambale,bado mabwawa yapo? Good morning Dodoma sec.sc.[emoji119] [emoji119]
Hahahahaha mabwawa yapo lakini miaka ya karibuni mvua zimekuwa haba sana Dodoma
Mtera ndio inalisha samaki wengi Dodoma
 
Back
Top Bottom