Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

51d9e91a541bcfb45c9840b83c3d8468.jpg
 
Tchaa!!! Sasa! nimekuoneaje wakati ninyi ndo mnanionea? Mzee wa ini amesema pona pona yangu ni RIP,kwanini asikushauri uache kutupia picha zinazo nitesa??? ILA akikushauri uache kutupia hizo picha KATAA,utanipoteza ndugu yako,kweli nakuambia,nipo siriazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila mida yetu haaaa anatupia tu kausingizi kanakata chapu kwa haraka kama leo hivi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila mida yetu haaaa anatupia tu kausingizi kanakata chapu kwa haraka kama leo hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani huyu mkoromije kaniweza kweli leo,ile najilaza tu niambulie hata lepe la usingizi,king'ora hichoo.....kayatupia mapicha ya kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yesu baba endelea kuchelewa kuja, bado sijajipanga mja wako[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom