mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tchaa!!! Sasa! nimekuoneaje wakati ninyi ndo mnanionea? Mzee wa ini amesema pona pona yangu ni RIP,kwanini asikushauri uache kutupia picha zinazo nitesa??? ILA akikushauri uache kutupia hizo picha KATAA,utanipoteza ndugu yako,kweli nakuambia,nipo siriazi.Shemeji! Mimi huyu. Nakuonea. Umenioneaaaa !!!
Hahaha lakini mwisho wa boxer wengi ni magonjwa ya akili na kupooza mwiliBoxing siyo WWE mkuu. All it takes is just one well placed punch and it's lights out.
Ila jamaa wanavuta hela ndefu sana. Hilo tu ndilo linaniuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu habari ya asubuhi
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Baada ya kukuona wewe umeamka my love!
Hahahahaha mabwawa yapo lakini miaka ya karibuni mvua zimekuwa haba sana DodomaMorning brother. Naona malkia ISIS ameaka na afya njema,sura yenye bashasha tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zamani tulikuwa tukienda Zuzu tulikuwa tuna vua sana vikambale,bado mabwawa yapo? Good morning Dodoma sec.sc.[emoji119] [emoji119]
Karma[emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]