Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kk tena embu kamilisha habari yakoKwa case ya GeJo,Kichwa Kichafu ndio tatizo,mbaya zaidi hata Baby doll nae kaondoka.Nitarudi baadae...
Good morning mkuu
Jambo kabisa
Mara nyingi huwa anarudi siku za weekend, naamini usiku wa leo atakuwepoAisee Mark Msue naye amepotea
Mpare HahahahahaSi ajabu umeambatana na wakusoma.Haendi tuition leo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila mida yetu haaaa anatupia tu kausingizi kanakata chapu kwa haraka kama leo hiviTchaa!!! Sasa! nimekuoneaje wakati ninyi ndo mnanionea? Mzee wa ini amesema pona pona yangu ni RIP,kwanini asikushauri uache kutupia picha zinazo nitesa??? ILA akikushauri uache kutupia hizo picha KATAA,utanipoteza ndugu yako,kweli nakuambia,nipo siriazi.
Hahahahaha
Wanaume makaksi sana
Ndio nature ya girls na boys mpka kuwa watu wazima
Kuna kaukweli aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani huyu mkoromije kaniweza kweli leo,ile najilaza tu niambulie hata lepe la usingizi,king'ora hichoo.....kayatupia mapicha ya kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yesu baba endelea kuchelewa kuja, bado sijajipanga mja wako[emoji120] [emoji120][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila mida yetu haaaa anatupia tu kausingizi kanakata chapu kwa haraka kama leo hivi