*Hakuna kitu kinauma kama imefika mwisho wa mwezi huna hela ya kodi ya nyumba halafu anapita mlokole anaimba mbinguni kuna makazi ya bure tena mazuri saña unatamani umuulize je una namba ya dalali yoyote anayemfahamu huko mbinguni akupe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
CantstopwontStop