Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Carba hajambo?Basi ni Amani na furaha kwamba u mzima.
CantstopwontStop
Carba hajambo?Basi ni Amani na furaha kwamba u mzima.
CantstopwontStop
Kula like alwaatann!!Kumbuka kuna ambao jana tulifanya ibada na kumuomba na ambao nao leo wanasimama kumuomba na ambao kesho watasimama pia kutaka radhi zake. Sina mengi gonga likes twende sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
KweliMember wa uzi huu endeleeni kuwa na subra ili tukimbize likes. hatupendi mmoja wetu apate ban kwenye uzi huu uliojaa upendo ambao umejiepusha na povu zenye chuki na uhasama
Sent using Jamii Forums mobile app
Peace n loveAmani amani
Tiba muhimu
AMUN RAGoddess Isis nakubariki kwa baraka zote
Mkuu naomba uniweke sawa, hivi ni sababu zipi hasa kina dada wengi wanapenda sana chips ?Pesa tatizo au wengine wana pesa basi tu wanaona chakula bora ni ushamba wao ni chips vinono vinono kwa sana
Ee bana mechi ya kibabe. Ngoja tumshauri andjul aache kufatilia mlonge ale msosi wa maana