Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3763.JPG
 
Utamu wake,kuonekana wajanja maana kuna wengine wanaona kula ugali ni ushamba. Unakuta mtu anajisifia nina mwezi sijala ugali hapo kama huwa hali ndizi basi jua mwezi mzima anakula chips
Mkuu naomba uniweke sawa, hivi ni sababu zipi hasa kina dada wengi wanapenda sana chips ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom