Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
O786
OK nimekupataUrembo,inaweza kua kabandika au ni za kwake za asili
Wali chorokoWali maharage
Mhhh!!! Maparachichi+mihogo+karanga+viazi vitamu+ndizi za kuiva=miguvu ya kuua mtu kama hakutakuwa na maji ya kupozea(koo)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pesa tatizo au wengine wana pesa basi tu wanaona chakula bora ni ushamba wao ni chips vinono vinono kwa sana
Ee bana mechi ya kibabe. Ngoja tumshauri andjul aache kufatilia mlonge ale msosi wa maana
KabisaJumamosi tulivu