Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

umuhimu wa password na hasara/ madhara unayoweza kupata endapo password yako ya mtandao wowote wa kijamii itafahamika kwa mtu mwingine hasa mtu mbaya na madhara ya kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k bila ku-log out.

Wapo watu wengi na pengine inawezekana na wewe ni mmoja kati ya watu hao wenye tabia au mazowea ya kuingia kwenye account/ profile zao za mitandao ya kijamii na baada ya kumaliza shughuli zao humo hutoka bila ya ku-log out kutokana na sababu zifuatazo;
 
Kusahau. Kuna watu wana tabia tu ya kusahau ku-log out baada ya kumaliza shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii. Hii ni hatari zaidi kwa wale ambao wanatumia simu au computer za kuazima kwa wenzao au computer za public kama vile kwenye internet cafe, vyuoni, maofisini, n.k ambazo hutumiwa na watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…