Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HII POST NIMEITOA FB KWENYE ACC YA DEO KISANDU IMENIFURAHISHA SANA AISEE..
......
SASHA OBAMA INASADIKIKA YUPO NCHINI TANZANIA AMEFICHWA?
Taarifa za intelejensia ya Kimungu zinaonesha mtoto wa barack Obama yupo nchini lakini amezuiwa kuonana na Deogratius Kisandu (orijino) na amekutanishwa na Deogratius Kisandu ambaye ni Feki. Na kuna mtu anaitwa George amewekwa ili kumtongoza. Nainaonekana yupo kati ya Ikulu ndogo ya Mwanza au Dar es salaam au KAHAMA. Naikibainika ni kweli, MTAIONJA JOTO YA JIWE.
Hahahaha
 
Dadako babe s alinifirisi tu,
Nadhani wajua jinsi maisha yake yalivyo ghari,
Kwa ajili ya upendo nilijaribu kujilazimisha kununua kila hitaji lake,
Niliuza karibu kila nilichokuwanacho lkn mahitaji yakazidi kuwa makubwa kuliko awali.

Kichwa kichafu akanishauri tujaribu njia ya mkato ili tupate pesa,
Yeye akawa na gobore lake alilomirikishwa na babu yake,
Akapanga twende sehemu kwa bahati mbaya nikawa mgonjwa, akaamua aende yeye tu
Kwa bahati nzuri akakutana na gari la bolize,
Kichwa akajaribu kukimbia bahati nzuri kakanyaga ganda la ndizi kaanguka chini,
Kwa haraka borize wakamdaka kipigo chake sasa!

Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kumkwepa babe s.
Sasa hivi akipiga simu sitamani kupokea maana sina kila kitu nitamwambia nini?

Na gari langu mgongo wa chura tulilokuwa tunatumia nae limechoka sana na sina mpango wa kuliuza ingawa sina chochote mfukoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
0a4fbe6339d2a865830c10d2fee8ce92.jpg

Kama hauuzi futa hayo maandishi
 
Back
Top Bottom