Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sis, una kesi ya kujibu tena kubwa mno. Sioni likes zako. Kulikoni?True na kwa kweli!
One soul!
Hahahaha
HahahahaHII POST NIMEITOA FB KWENYE ACC YA DEO KISANDU IMENIFURAHISHA SANA AISEE..
......
SASHA OBAMA INASADIKIKA YUPO NCHINI TANZANIA AMEFICHWA?
Taarifa za intelejensia ya Kimungu zinaonesha mtoto wa barack Obama yupo nchini lakini amezuiwa kuonana na Deogratius Kisandu (orijino) na amekutanishwa na Deogratius Kisandu ambaye ni Feki. Na kuna mtu anaitwa George amewekwa ili kumtongoza. Nainaonekana yupo kati ya Ikulu ndogo ya Mwanza au Dar es salaam au KAHAMA. Naikibainika ni kweli, MTAIONJA JOTO YA JIWE.
Dadako babe s alinifirisi tu,
Nadhani wajua jinsi maisha yake yalivyo ghari,
Kwa ajili ya upendo nilijaribu kujilazimisha kununua kila hitaji lake,
Niliuza karibu kila nilichokuwanacho lkn mahitaji yakazidi kuwa makubwa kuliko awali.
Kichwa kichafu akanishauri tujaribu njia ya mkato ili tupate pesa,
Yeye akawa na gobore lake alilomirikishwa na babu yake,
Akapanga twende sehemu kwa bahati mbaya nikawa mgonjwa, akaamua aende yeye tu
Kwa bahati nzuri akakutana na gari la bolize,
Kichwa akajaribu kukimbia bahati nzuri kakanyaga ganda la ndizi kaanguka chini,
Kwa haraka borize wakamdaka kipigo chake sasa!
Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kumkwepa babe s.
Sasa hivi akipiga simu sitamani kupokea maana sina kila kitu nitamwambia nini?
Na gari langu mgongo wa chura tulilokuwa tunatumia nae limechoka sana na sina mpango wa kuliuza ingawa sina chochote mfukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maradhi mengine hayatibiki kwa mlonge mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Pia kuna wanosti na kusuburi likes..kama vile zinawekwa automatikali..Ni kweli mkuu. Likes zimeanza kuwa adimu adimu. Sijui kwa nini !!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] tutasikia mengi leo... Weitaaaa nipimie bia ya sh.750......Lilikuwa tangazo la kichwa hilo,
Huyo mpare bado siamini kama anamuweza babe s,
Naamini yupo kwa ajili ya kumfichia siri mtu Fulani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Indeed my dear