Shida zimenifundisha kupiga rangi mwenyewe,
Maandishi nishafuta kwa kupiga rangi nyeusi ya mafuta,
Lkn haling'ai sbb ya kutumia brashi ya mkono.
Unaweza nikopesha elfu sabini kwa ajili ya tyre?
Nitazirudisha baada ya kuuza mazao yangu mkuu.
Nitavuna tu sababu nitapewa shamba mwaka kesho.