Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9cf370594a4bc812aa5e537978b94aee.jpg
Wote mavi kanyanga
 
Dadako babe s alinifirisi tu,
Nadhani wajua jinsi maisha yake yalivyo ghari,
Kwa ajili ya upendo nilijaribu kujilazimisha kununua kila hitaji lake,
Niliuza karibu kila nilichokuwanacho lkn mahitaji yakazidi kuwa makubwa kuliko awali.

Kichwa kichafu akanishauri tujaribu njia ya mkato ili tupate pesa,
Yeye akawa na gobore lake alilomirikishwa na babu yake,
Akapanga twende sehemu kwa bahati mbaya nikawa mgonjwa, akaamua aende yeye tu
Kwa bahati nzuri akakutana na gari la bolize,
Kichwa akajaribu kukimbia bahati nzuri kakanyaga ganda la ndizi kaanguka chini,
Kwa haraka borize wakamdaka kipigo chake sasa!

Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kumkwepa babe s.
Sasa hivi akipiga simu sitamani kupokea maana sina kila kitu nitamwambia nini?

Na gari langu mgongo wa chura tulilokuwa tunatumia nae limechoka sana na sina mpango wa kuliuza ingawa sina chochote mfukoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pole sana mkuu japo siamini. Dadangu angekuwa so expensive asingeangukia kwa Mpare ambaye nyie mnadai eti ni denti mpaka kwa mikwara tu mkaitisha na harambee humu ya kumchangia hela za tuisheni. Na kama kweli ulikombwa kila kitu, hivi vita vya kubomoa mazizi ya watu ulivyovitangaza hapa utavipiganaje?

Ila kweli umepitia mengi. Usikate tamaa mkuu.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kwa hiyo ili kuepuka watu wengine wasiweze kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii jitahidi kutunza password yako kwa usiri na umakini mkubwa mtu mwingine asiifahamu na pia jitahidi ku-log out kila wakati unapotoka kwenye profile yako baada ya kumaliza mambo yako. Fanya hivyo bila kujali unatumia simu au computer yako binafsi,
 
simu au computer ya kuazima kwa mtu au computer za public yaani kwenye internet cafe, vyuoni, maofisini, n.k

Jamani nimeamua kuandika post Madhara/ hasara za kutoka kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii bila ku-log out hii ili kuwatahadharisha na kuwakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu umuhimu wa kuwa makini katika kulinda usalama na matumizi ya mitandao hii ya kijamii.
 
Ni vizuri kutumia mitandao ya kijamii kwa sababu ina faida zake, lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha hatutumii vibaya mitandao hii kama vile kupost matusi, kudhalilisha wengine, kuchafua status za wengine au kuweka jumbe za uchochezi zinazoweza kuhatarisha usalama na amani.
 
Back
Top Bottom