Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kwa hiyo ili kuepuka watu wengine wasiweze kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii jitahidi kutunza password yako kwa usiri na umakini mkubwa mtu mwingine asiifahamu na pia jitahidi ku-log out kila wakati unapotoka kwenye profile yako baada ya kumaliza mambo yako. Fanya hivyo bila kujali unatumia simu au computer yako binafsi,
 
simu au computer ya kuazima kwa mtu au computer za public yaani kwenye internet cafe, vyuoni, maofisini, n.k

Jamani nimeamua kuandika post Madhara/ hasara za kutoka kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii bila ku-log out hii ili kuwatahadharisha na kuwakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu umuhimu wa kuwa makini katika kulinda usalama na matumizi ya mitandao hii ya kijamii.
 
Ni vizuri kutumia mitandao ya kijamii kwa sababu ina faida zake, lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha hatutumii vibaya mitandao hii kama vile kupost matusi, kudhalilisha wengine, kuchafua status za wengine au kuweka jumbe za uchochezi zinazoweza kuhatarisha usalama na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…