Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namna ya kutunza afya ya akili na mwili wako.
Afya ni hazina ya pekee inayotufanya tuishi kwa raha. Akili pia ni kitu muhimu kinachoendesha utendaji kazi wa mambo mengi katika miili yetu. Hatuwezi fanya jambo lolote la maana ikiwa hauna afya njema ndio maana ni muhimu kutunza afya zetu ili tuweze kuendelea kuishi vizuri na kuendelea kufanya shughuli za kujenga taifa.
 
Afya bora hujengwa na mambo kadha vikiwemo vyakula bora, ufanyaji wa mazoezi ya mwili na kuishi katika mazingira safi na tulivu kwa maisha ya mwanadamu.
Kwa kulijua hilo soma mambo yafuatayo yatakayokusaidia kutunza afya yako...
 
1. Kula vyakula bora.
-Chakula ni dawa, ni vyema ukawa daktari wa mwili wako kwa kula vyema na kuwa mwenye afya bora na imara. Kila siku jitahidi kula chakula chenye virutubisho vingi vya vyakula tofauti tofauti (Live smart by eating a well balanced diet). Kula wanga na protini kiasi, mboga za majani na matunda kwa wingi. Kujua aina ya matunda na faida yake
 
3. Pumzisha mwili wako.
-Lala kila unapojisikia usingizi hata kama ni mchana, watu wengi hufikiri kulala mchana ni uvivu HAPANA, kama una nafasi sinzia kwenye kochi angalau kwa dakika 10 kisha endelea na kazi zako. Jipumzishe ili kuupa mwili wako muda wa kukusanya nguvu tena. Wewe sio dubwana (robot) ufanye kazi bila kupumzika, pumzika na ufute pumzi kwa afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…