mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tupo mamaaaIsis na mzee wa liver
Ngisi wa nini?? Agiza maparachichi,mihogo,karanga, mafenesi,korosho na ugali wa kushiba kila siku.... Nakunong'oneza tu "jiandae kumuona shimba ya buyenze akimfuata dadaake,kisa? Kazi unazo mfanyisha hazipo kwenye mkataba wa ng'ombe 30" achana na mlonge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majumu yapo poa tu. Tule ngisi
Juu ya mtiBob nakusalim popote ulipo
Bado mamaaJosevert bado hajapatikana tu?
Usimcheke Ho chi Minh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkali wao,Wewe mkali
Alitekwa huyoHv ww kumbe upo? Unapotea sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akili za kuambiwa na wahenga always changanya na zako. Huyu kasikia eti fuata nyuki ule asali basi kachukulia literary....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Du ndio shida ya masiasaBAK amekula ban,lile jukwaa kule ni tatizo sana.Tumuombee amalize mapema