mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mchina mchinaNatumai mimi na Uniq hatuwezi kukaa viti jirani,
Namuona yuko na hasira kali sbb matumizi yamemuelemea na kifungo sioni km atakiepuka.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahaha carba ana vipicha vizuriNimecheka saaaana maana sikutarajia kukaona kule.Kwa mara ya kwanza nilimuona nako carba
Mkuu kwema huko? Yaani kama Mbeya 9°C saa hizi,bila jibapa hata moto haufaiGracias..Arusha baridi bila pombe maisha hayaendi...LMFAO.
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Kwa kuharibu majina ya wenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rashidi makame
Wa kwangu mbona haulizi hivyo
Ho chi MinhMajukumu Babe S,
Nafasi ikipatikana lazima tuwemo humu.
Nawe haujakuwepo kipindi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app