Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante sana rafiki yangu. Hizo ndio mbinu mbili za wewe kuweza kuamka mapema asubuhi. Kumbuka kama ujawai kufanya itakua ngumu kwako mwanzoni, lakini kadiri unavyozidi kufanya kila siku, mwili wako unazoea na inakuwa kawaida kwako.
 
Pangilia siku yako kabla ujainza; Kabla ya kuinza siku yako, andika mambo ambayo utaenda kuyafanya siku hiyo. Yapange kwa kwa kutegemea na umuhimu wake, ukianza na jambo la muhimu zaidi adi la mwisho ambalo sio muhimu sana. Yasizidi mambo sita. Ukiwa na mambo mengi sana, itakuwa ngumu sana kwako kuyafanya yote.
 
Je Mtaalamu (dokta) kutega Alarm clock ili ikiamshe mapema kuna madhara yoyote??

Nasubiri....
 
Hakikisha mtu au kitu chochote akiingilii ratiba yako. Kama ni mtu hukupanga kukutana naye siku hiyo, mwambie aje siku nyingine, labda kama kuna jambo la ghafula na ni muhimu. Lakini kama sio jambo la ghafula na wala sio muhimu, mwambie aje siku nyingine.
 
Epuka kutumia muda wako mwingi kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, whatsap na mingine. Tenga muda mchache wa wewe kuingia kwenye mitandao hiyo, sio kila muda uko active(unafatilia kila kitu kinachoendelea).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…