Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda ndio rasilimali pekee ambayo ikipotea hairuidi. Poteza mamilioni ya pesa kadiri unavyoweza, unaweza kukomaa tena ukapata, lakini muda ukipotea huwezi tena kuurudisha. Muda ukipita ndio umepita hivyo, hauridi tena.
 
Katika safari ya mafanikio, jambo moja wapo ambalo unatakiwa kuwa nalo makini ni muda. Kama usipokuwa na matumizi mazuri ya muda wako, kufanikiwa kwako itakuwa ngumu sana. Mafanikio yanategemea sana matumizi yako ya muda.
 
1503809578111-1381697265.jpg
 
Back
Top Bottom