Hahahaaa...binadamu wana sura 2! Ya dhahiri na faragha
Hajaonyesha umwamba kabisa..Hivi huyu Mc Gregory alimpigaje pacciao
Aisee maywether ni undefeated champion kwa kweli
Tulia wewe tulikuwa tunaangalia wanaumeHii weekend tamu sana. Man u kileleni [emoji126]