Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Iko siku utakufa mche m'mungu
Acha vitisho. Jifunze kuwakaribisha watu kwa Mungu kwa upendo kwa sababu ni upendo na karama za Mungu pekee ndivyo vina nguvu ya kufanya hivyo. Vitisho, dharau, makaripio, condemnation bila upendo ni kazi bure na unaweza ukajikuta unafanya kazi ya shetani huku ukidhani kuwa unamfanyia kazi The I Am God the Almighty....

By the way jina lake daima huanza na herufi kubwa. Huyo m'mungu pengine unazungumzia vimiungu vya Misri huko, Roma, Ugriki ya kale au kabila lenu. Blessings....
 
Cc
Aseno
SHIMBA YA BUYENZE
BRO NJEMA HUKO


CantstopwontStop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…