Arsenal...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka kwa dharaaaaau[emoji3] [emoji3]Aisee
daa hilo tangazo limenifanya nicheke sana
habari...Seduce me[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Taja tu na maisha yataendelea. Mi nilikua hapo tangu mwaka 1983. Kitumbini, mchafukoge, kisutu, yote mitaa yatu hiyo+ kariakoo yote.Hahaa... Nikitaja mtaa nitakuwa nimeji unmask mkuu! [emoji3]
Wewe ni mzawa mwenzangu,Hahaa... Nikitaja mtaa nitakuwa nimeji unmask mkuu! [emoji3]