Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitendo cha mafaili kujificha na kuwa shida kuonekana limekuwa tatizo linalowasumbua watu wengi (hasa kwa wale wasiojua kutumia kompyuta kiundani) na kufanya watu kupoteza data mbalimbali ambazo hawakuzitunza sehemu nyingine yoyote mbali na kuzitunza kwenye memori kadi.
 
Njia za kufuata ili kuweza kurudisha mafaili ambayo yamejificha kwenye memori kadi.

Hapa ndipo kiini cha lengo la makala hii na ni muhimu kuwa na kompyuta ili kuweza kufanikiwa kurudisha zile data zako ambazo zilipotea tu bila hata ya wewe kuzifuta au kufutwa na mtu. Mara nyingi tatizo hili husababishwa na virusi ambavyo vipo kwenye memori kadi.
 
Fuata hatua zifuatazo kurudisha kumbukumbu kwenye kifaa chako (memori kadi):-

Pakua “AutorunExterminator” kwenye kompyuta. Programu hii itasaidia kuondoa mafaili ya “autorun.inf” ambayo ni moja ya aina ya virusi. Bofya AutorunExterminator kuweza kuipakuwa programu hiyo.
 
Siku hizi Facebook wamefanya video zinazowekwa kwenye mtandao huo zianze kucheza mara moja ukiziona ata bila ya wewe kuchagua kuziangalia. Hii iwe kwenye app au kwenye mtandao, na kiukweli jambo hili linakera kwa watumiaji wengi.
 
Tupendelee kuwahimiza waendesha pikipiki waendeshe kwa mwendo kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
we mzee wewe daahh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tusipeleke watoto shule maana ni hasara

Sent using Jamii Forums mobile app

Tushinde klabu za simba na yanga ili tuache historia nzuri kwenye familia zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuzungumzie mpira wakati wote

Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni kutii sheria mtemakuni awaletee zawadi za sikukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakulima tulime bila mbolea

Sent using Jamii Forums mobile app

Au mziparue kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ikiwezekana mzichune kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanawake chubueni ngozi zenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamani tufuge vitambi

Sent using Jamii Forums mobile app

Tusipendelee vyakula vya asili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom