Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye Facebook App – Android

Kama unatumia huduma ya Facebook kupitia toleo la app ya Android basi fuatilia hatua hizi kuzima video kujicheza zenyewe ukiwa unatumia app ya Facebook.

Bofya kwenye alama ya mistari mitatu iliyolala.
Shuka chini na bofya eneo la App Settings
Bofya ‘Video Auto-play‘
Bofya ‘Off‘ kuzuia kabisa video kucheza zenyewe au bofya ‘Wi-fi only‘ ili kuruhusu video kucheza zenyewe pale tuu unapokuwa unatumia huduma ya intaneti kupitia mfumo wa WiFi.
 
Kwenye Facebook App – iOS (iPhone)

Kama unatumia huduma ya Facebook kupitia app katika simu za iPhone basi fuatilia hatua hizi kuzima video kujicheza zenyewe ukiwa unatumia app ya Facebook.

Bofya kwenye alama ya mistari mitatu iliyolala,
Shuka (scroll) chini na bofya Settings
Bofya Account Settings
Bofya Videos and Photos
Bofya ‘Auto-play’
Bofya ‘Never Auto-play Videos‘ na basi utakuwa umekwamisha kabisa video kujicheza zenyewe ukiwa unatumia huduma ya Facebook, ila kama bado utataka hali hiyo iendelee pale tu unapokuwa kwenye huduma ya intaneti ya WiFi basi chagua ‘WiFi Connections Only’.
 
Kwente Facebook App – iOS (iPad)

iPhone na iPad zinatofautiana mambo kadhaa kwenye mipangilio yake (settings) na ata kwenye app ya Facebook hali ni ile ile. Kujua jinsi ya kuzuia video kujicheza zenyewe ukiwa unatumia app ya Facebook fuata hatua hizi;

Bofya kwenye alama ya mistari mitatu iliyolala ukiwa ndani ya app ya Facebook
Shuka chini na bofya Account Settings
Bofya Videos and Photos
Bofya Auto-play
Bofya Never Auto-play Videos basi utakuwa umekwamisha kabisa video za Facebook kujicheza zenyewe ukiwa unatumia app ya Facebook, ila kama bado utataka hali hiyo iendelee pale tu unapokuwa kwenye huduma ya intaneti ya WiFi basi chagua ‘WiFi Connections Only‘.
 
Back
Top Bottom