Kwenye Facebook App – iOS (iPhone)
Kama unatumia huduma ya Facebook kupitia app katika simu za iPhone basi fuatilia hatua hizi kuzima video kujicheza zenyewe ukiwa unatumia app ya Facebook.
Bofya kwenye alama ya mistari mitatu iliyolala,
Shuka (scroll) chini na bofya Settings
Bofya Account Settings
Bofya Videos and Photos
Bofya ‘Auto-play’
Bofya ‘Never Auto-play Videos‘ na basi utakuwa umekwamisha kabisa video kujicheza zenyewe ukiwa unatumia huduma ya Facebook, ila kama bado utataka hali hiyo iendelee pale tu unapokuwa kwenye huduma ya intaneti ya WiFi basi chagua ‘WiFi Connections Only’.