Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

18. Mkorea Kaskazini haongei Kiingereza kabisa lkn bado ametengeneza software yake yeye mwenyewe yaani hatumii windows, hivi sasa wametengeneza smart phone yao isiyotumia android yaani wamebuni software ya kwao
(Kuna kijana mdogo mkorea kaskazini anaishi USA alipoenda NK baada ya siku kadhaa alipatikana na simu ya camera made in South Korea...sumsung alikuhumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kazi ngumu..Mataifa makubwa yalipoingilia kati aliachiwa huru na kurudishwa USA..ingawaje yeye ni raia wa korea kaskazini..)
 
19.Mwaka 2015 Korea kaskazini walibadili mtindo wao wa saa, dakika 30 nyuma.Lengo lilikuwa kukwepa kuwa na saa sawa na watani wao wa Korea kusini.

20. Mgao wa umeme ni jambo la kawaida sana Korea kaskazini. Ifikapo usiku serikali huzima umeme maeneo mengi kwa sababu ya uzalishaji wake kuwa wa kiwango cha chini.
 
21. Channel za TV zinazo ruhusiwa kuoneshwa nchini kwao ni tatu tu.Moja kila jioni tu, na hizo mbili ni weekend pekee, zote lazima zikaguliwe na serikali kabla ya kupaa hewani.

22. Baadhi ya makosa hukumu zake hudumu kwa vizazi vitatu, siyo ajabu kwa mtu kutumikia hukumu ya makosa ya Babu yake.
 
9467f6e76859f589e43794cb41f19724.jpg
CleverKING busara nyingi akili chache umepotea wapi mzee
 
23. Rais wa kwanza Kim Jong iL Alipendelea Sana Kula Nyama Ya Punda Na Kunyoa Panki, ni Rais Katili Asiye Na Huruma Hata Chembe,na Sasa Mwanae Rais Kim Jong Un Kafuata Nyayo Za Baba Yake,naye Hupenda Kunyoa Panki,kula Nyama Ya Punda,na Pia Anaua Wapinzani Wake,aliamuru Mjomba Wake Auawe Kikatili Kwa Kushambuliwa Na Kundi Kubwa La Mbwa Wenye Njaa Kali kama alivyokuwa Baba Yake,kim Jong Un pia Ni Muoga Sana Kusafiri Nje Ya Nchi Yake Kwa Sababu Ya Kuhofia Usalama
 
Back
Top Bottom