Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nikuamkie niwe nimejiwekea vikwanzo.Wewe siku hizi huna adabu eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nikitaka nikipendacho unikazie
Nikuamkie niwe nimejiwekea vikwanzo.Wewe siku hizi huna adabu eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo na ISIS wana mpet pet huko
Sasa kusema ukweli tangu lini ikawa chuki? Ingekuwa namsingizia mambo hapo ungesema ukweli. Hata CAG kaandika kuhusu ufisadi wa huyu katika ripoti tatu tofauti. CAG naye kwa kuandika ukweli kuhusu huyu ana chuki dhidi ya dikteta uchwara? Kikwete naye ana chuki dhidi ya dikteta uchwara? Hebu acha hizo Mkuu. Matendo yake na kauli zake mwenyewe huyu ndiyo chanzo cha utawala wake kuingia dosari kubwa sana na si chuki za yoyote yule.
Ukweli kuhusu huyu dikteta uchwara na nduli ni lazima usemwe bila kupindisha hata chembe kwa faida ya Tanzania ya sasa na vizazi vyetu vijavyo.
Ben Saanane kishapotea kwa kosa lipi? la kusema huyu dikteta uchwara Phd yake ni Phd uchwara? Watanzania wangapi wapotee nchini ndiyo tuanze kumshinikiza huyu na chuki zake za kutisha na visasi?
![]()
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo kaja...Tena anasema atakuwa hapa mpaka mida ya wanga !!!Yupo na ISIS wana mpet pet huko
Yup yup man
Point taken[emoji111] [emoji817]Ni haki yako kabisa Baba Viv. Amini cho chote. Usiamini cho chote. Nobade wili boza yu ali mradi tu usivunje sheria au kuwa kero kwa wanajamii wenzio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi hana miwani. Siku hizi ni lipustiki tu. Ila naamini avatar ile ya miwani atairudisha tu kwa sababu hatakaa apate avatar nyingine nzuri kama hii...