ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Jambo la mhimu sana hilo.Kwa nini nchi zisiruhusiwe kuunda demokrasia zao kulingana na historia, utamaduni na matakwa yao ya kiuchumi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo la mhimu sana hilo.Kwa nini nchi zisiruhusiwe kuunda demokrasia zao kulingana na historia, utamaduni na matakwa yao ya kiuchumi?
Nywele za Prof zimekuwaje? Anamwiga Trump ama?
Wana taasisi zilizo imara. Ukianza mambo ya visasi likibumburuka unafurushwa (Watergate?). Sasa ukifurushwa na washikaji zako wamepoteza mabilioni ya dola ili uchaguliwe utawaeleza nini? Mambo madogo madogo inabidi upotezee tu....Pia hawana visasi!! Kuna taasisi na watu wakitaka mtu ashinde anashinda,hawana haja na watu wadogo..