myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Demokrasia ni ngumu sana
AmenMungu Aibariki Tanzania
Kweli mkuu. Wenzetu wakila rushwa utakuta ni lirushwa kubwa la kuamua kuvamia nchi nyingine tu ili makampuni ya silaha yavute pesa ya kueleweka...Ulaya kuna mizengwe ila sio kama Africoco..
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kwa kukuita dogo.Nitaamkia wote si wewe.
Unataka kuninyima kitu ww si bure!
Pamoja sanaKesho kuanzia saa tano asubuhi tunaendelea na LIVE UPDATES kutoka supreme court of Kenya
Mwanamke chura sura tutachonga vetaMwambie huyu Bob mzee wa misambwanda
Pia hawana visasi!! Kuna taasisi na watu wakitaka mtu ashinde anashinda,hawana haja na watu wadogo..Kweli mkuu. Wenzetu wakila rushwa utakuta ni lirushwa kubwa la kuamua kuvamia nchi nyingine tu ili makampuni ya silaha yavute pesa ya kueleweka...