Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

14.Christian Bale aliomba nafasi ya kucheza katika moja ya nafasi muhim ila James Cameron alikataa,hakuwa anataka waigizaji wawili wa kiingereza wacheze nafasi muhimu zote katika hii movie
15.Gwyneth Paltrow alikuwa akiimendea nafasi ya kucheza kama ROSE but Kate Winslet ndiye alipata
 
Nililojifunza katika kongamano hili ni kwamba: hata kwenye demokrasia not one size fits all. Ndiyo maana demokrasia hii ya Kimarekani imeshindikana sehemu mbalimbali duniani (mf. Afrika Kaskazini na hukoo Uarabuni). Na ilikopelekwa kwa nguvu (Iraq) bila kuheshimu historia, utamaduni na hali halisi ya watu matokeo yake hayajawa mazuri.
 
16.Hii ilikuwa ni film ya kwanza kuwa released katika (DVD/VHS) wakati bado inaoneshwa katika nyumba za cinema
17.Mwishoni mwa movie wakati Rose anakutana na Jack ktk Grand Staircase, muda ulokuwa unaonekana katika saa ya ukutani ndo muda halisi meli yenyenyewe ya Titanic ilipozama
 
20Nicole Kidman, Madonna, Jodie Foster, Cameron Diaz and Sharon Stone hawa wote walikuwa wakifikiriwa kucheza part ya Rose.
21.3-D ya hii movie itatolewa April 2012, ikumbukwe huo ulikuwa ni mwezi ambao meli yenyewe ya the RMS Titanic ilianza safari miaka 100 ilopita
 
Nampenda snura ana bonge la chura
c4ac5961856385c796cf224c10e9fde2.jpg
Hatari sana [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom