Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Katika hatua za mwanzo za production hii movie waliiita ”Planet Ice”.
2.Ilikuwa ndio movie iloingiza pato kubwa katika box office history,ikiinngiza takriban US$1.8 billion but baadae ilipitwa na Avatar. Hizi filam mbili zote ziliongozwa na James Cameron
 
3.Mwanzoni budgeted ya movie ilikuwa $135,000,000, but schedule iliporefushwa kwa miezi miwili zaidi waliiomba kampuni ya Paramount Pictures kuongeza $65,000,000
4.Baada ya kumaliza Terminator 2: Judgment Day, James Cameron alijiwa na wazo baada ya kuangalia movie ya A Night to Remember.
 
.Alikaa chini na kufanya research ya miaka mitano kuhusu meli ya Titanic na yaliyoisibu5.Kate Winslet ni mmoja kati ya actors walokataa kuvaa nguo ya kuogelea katka scene ya majini,matokeo yake alipata pneumonia
6Movie ilikuwa namba moja katika U.S. box office kwa wiki 15 mfululizo,kuanzia 19 December 1997 mpaka 2 April 1998.
 
7.Mkono ulokuwa ukionekana ukimchora Rose sio waLeonardo DiCaprio‘s, ila ni wa director James Cameron‘s. Katika editing baadae, Cameron, ambae anatumia mkono wa kushoto,walitumia technique ya kuipindua shot kwa kiyooo(hapa watu wa editing ndo wanaelewa zaidi)ili ionekane ni mchoraji alikuwa anatumia mkono wa kulia,kama DiCaprio.
 
8.Hii ni movie ya kwanza kuwa filmed katika Fox Studios Baja.
9.Katika scene ambayo wazee wawili wapenzi wanakumbatiana kitandani wakiwa tayari kufa pamoja wakati meli inazama na maji yashaanza ingia chumbani kwao na kuanza sambaa chini ya kitanda,mtunzi hapa anawatumia hawa wahusika wawili kuelezea kilichotokea kwa wamiliki wa Macy’s department store ya mjini New York; Ida and Isidor Strauss.Hawa walikuwa ni wapenzi wawili walokufa katika Titanic in real life.
 
Back
Top Bottom