Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia hawana visasi!! Kuna taasisi na watu wakitaka mtu ashinde anashinda,hawana haja na watu wadogo..
Wana taasisi zilizo imara. Ukianza mambo ya visasi likibumburuka unafurushwa (Watergate?). Sasa ukifurushwa na washikaji zako wamepoteza mabilioni ya dola ili uchaguliwe utawaeleza nini? Mambo madogo madogo inabidi upotezee tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…