Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Prof mmoja alileta msisimko sana alipohoji kwamba Marekani ina uhalali gani kumuita Kagame wa Rwanda dikteta wakati inavyoonekana wananchi wa Rwanda wameridhia wenyewe?