Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mimi hadi simu na line yenyewe natupa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa... Wewe ni chiboko! [emoji3][emoji3]
Mimi hadi simu na line yenyewe natupa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ray parlour ilikua ni mashine hatari sana anaufata mpira ulipo kona zote za uwanja unamuona yeye.Ray Porlour namuona kama ndio kiungo bora kabisa kuwahi kutokea kwenye timu ya Arsenal.Kuna beki Lee Dixon mwenye sura ya kilevi muda mwingi alikuwa anajishika magoti anachungulia mbele tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaitwa sanchoka ni model sijui ila mbongo,kwa msambwanda aliokuwa nao anataka kuolewa kwa 10mNdo Nani huyo baby maana tutoke ushamba
CantstopwontStop
Kama kawaida...invisible likes
My fav wrestlerThe Undertaker
CantstopwontStop
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najifariji etAisee
Unapendezea sana kutoa faraja kwa waliokata tamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimestaafu mzee mwenzangu nimekuachia tabia yako hiyo