Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natamani nianze darasa la kwanza lakini si kwa mtaala wa Africa.Muda mwingi tumepoteza kusoma historia tu
Mtaala wa bongo ovyo tu,hapo nawaza 24yrs uko high school tena form5 then waenda chukua MD 5yrs mwaka wa 6 internship[emoji23][emoji23][emoji23]bado hujaangaika na kazi haki ya nani maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Good night malaika mwema. You are good person Jakitoo and that's why you will always be my friend and lover...no matter what. Lala salama na Mungu Akulinde ewe binti mwema usiye na mawaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
At finally....Naamini jakitoo leo anakesha humu kwa ujumbe huu,no usingizi tudei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtaala wa bongo ovyo tu,hapo nawaza 24yrs uko high school tena form5 then waenda chukua MD 5yrs mwaka wa 6 internship[emoji23][emoji23][emoji23]bado hujaangaika na kazi haki ya nani maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nawewe umepita njia ndefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapo kuolewa kwishney kalega
 
Hapo sawa nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]ila inaelekea bob alikutingisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Bob aliingia kama mchungaji aliyeokoka. Baadaye akageuka akaanza kusema anahitaji milonge. Gia ya mwisho akawa singo faza anayelea kabinti ka miaka mitatu kaitwako Viv. Basi Jakitoo hoi mpaka akajitolea kupeleka mapera. Hata alipoambiwa kuwa kaViv hakali mapera akasema atapeleka biskuti na milonge. Hapo ndo nikajua kuwa nimepigwa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…