Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yupo pande hizo ndio maana anapatikana mida mibovu
OK. Ni vizuri kujua haya mambo mkuu. Leo hii mahesabu ya biashara ya nyanya yakinigomea nakuletea unaniangalizia. Nikiwa na wazo la ujasiriamali naenda kwa Mark Msue. Nikikwama kwenye Forex nakimbilia kwa Mzee wa Liva. Ufugaji wa ng'ombe na kuku natimkia kwa Mpare...Ndiyo faida ya haya mambo ya mtandaoni.

Amekuwa akiniulizia mara kwa mara kuhusu afya ya mama na sikuwahi kufikiri kuwa yuko pande hizo. Na kwa jinsi alivyo simpo, ucheshi na utani hata sikuwazia. Nimefurahi kulijua hili...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mimi tangu mwanzo nilisema historia ya mijibaba ya humu inayoimba gospo si nzuri,hatimae utabiri umetimia...huyu bob anaingia kundi moja na kina moudgulf,ho na KK wazee wa kuvamia mazizi ya watu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…