Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa jinsi anavyo jali,hakika Mungu atamfikisha mbali sana.Akiuliza hali ya mgonjwa hadi unahisi mtu aliye kujulia ni mtu wa karibu sana kwenye familia.Carba na Shimba mkiniulizia hali baba,machozi yananitokaga sana,maana nina watu niliozaliwa nao ni zaidi ya mwaka hawajawahi kuulizia hali.Mbarikiwe sana
 
Amina andjul[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mimi kwa kweli nilifanya kumshitua SYB kuwa huku tayariiii... Kosa liko wapi?ho chi minh kanishitua leo kuwa nsamaka anang'ang'aniwa na midume miwili(Bob na moud)nikajitokeza...
Hapo sawa ila nimeona mkeo anamtumia salamu za makopa kopa mzee wa tmk sijui ulikuwa wapi aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zizi lako linamitihani kuliko la yule wa kusoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…