Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahahahaha lol! Mkuu nimecheka sana aisee. Umeshakuwa addicted Mkuu. Nakumbuka yale masakata ya awamu ya nne yaani nilikuwa sitaki kupitwa yanayoendelea humu kwa kujua wakati wowote sakata jingine litaibuka. Sakata la nchi kuwa gizani na kisha kuuingia mkenge wa Richmond/Dowans nadhani ndiyo lilikuwa kubwa kuliko yote.

Unajua ukiwa humu JF, lazima uwe kama sungura! Unalala huku ukiwa umekodoa macho! [emoji3][emoji3]
 
Siyo photoshop shemeji. Ni huyu hapa chini. Naona alizidishiwa tu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️...
79522150fef7ea8e6da03355fba9c532.jpg
33f744db5a570bba43c67a85d7498c22.jpg
Full secretarial Sekela corse[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom