Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaonaje pale unapoingia nyumbani kwako, kazini, ofisi za umma au mahala popote kwa kukaribishwa huku ukitajwa jina lako. Ni jambo linalofurahisha na kusisimua sana.

Pengine Kompyuta yako unayoitumia nyumbani au kazini ungependa ifanye kazi hiyo kila unapoiwasha. Leo tunakupa maujanja ya kuifanya Kompyuta yako ukiiwasha ikukaribishe kwa kuita jina lako.
 
Ni njia rahisi sana ya kufanya hilo liwezekane. Baada ya wewe kupitia maelekezo tutakayo kuwekea hapa kompyuta yako itaweza kukukaribisha kwa namna ya kipekee kabisa.

Kufanikisha zoezi hilo fanya na ufuate maelekezo tunayokuwekea hapo chini.
 
2. Badilisha username na uweke jina litakalokaribishwa pindi Kompyuta ikiwaka.

3. Sevu faili lako kwa vbs. Yaani kama file lako umelipa jina la Teknokona, basi weka nukta kisha vbs
yaani liwe Teknokona.vbs

4. Baada ya hatua hiyo unatakiwa ulikopi faili lako na kulipeleka kwenye Startup. Hapo itategemea unatumia Windows gani ili kufika.
 
Zingatia haya, Kama unatumia Windows XP: Nenda C:\Documents and Settings\All Users\Start Menu\Programs\Startup



Kama unatumia Windows Vista/7/8/8.1/10:

Nenda C:\Users\ {User Name}\AppData\Roaming\Microsoft\Windows\Start Menu\Programs\Startup
 
Pengine wengine hawatajisikia raha kukaribishwa na sauti ya kiume. Kama ni hivyo basi tumia maneno haya ya chini ili uwe unakaribishwa na sauti ya kike.

Dim speaks, speech

speaks=”Welcome to your PC, I Love Free Software”

Set speech=CreateObject(“sapi.spvoice”)

Set speech.Voice = speech.GetVoices(“gender=female”).Item(0)

speech.Speak speaks

Kama umependa maujanja haya jaribu nawe kwenye Kompyuta yako ili uone unavyokaribishwa kama stelingi kwenye Movie
 
Makundi kwenye mitandao ya kijamii, apps yamekuwa njia moja ya kuwakutanisha wengi na watu mbalimbali na kuweza kuongea, kushauriana, kutangaza biashara, n.k.


Tangu WhatsApp ilete kipengele cha groups (makundi) imekuwa ni moja ya njia inayoonekana kuwafikia wengi ndani ya muda mfupi iwapo kuiandika kitu na ukakituma kwenye kundi/makundi ambayo wewe ni mwanachama.
 
Makundi kwenye WhatsApp yamekuwa kero kwa baadhi jambo kumfanya mtu kujitoa kwenye kundi fulani kutokana na kutopendezwa na kile ambacho kinasemwa kwenye group. Ni wakati wako sasa kujua na kujitoa kabisa na kutorudishwa tena kwenye kundi.
 
Makundi kwenye WhatsApp yamekuwa kero kwa baadhi jambo kumfanya mtu kujitoa kwenye kundi fulani kutokana na kutopendezwa na kile ambacho kinasemwa kwenye group. Ni wakati wako sasa kujua na kujitoa kabisa na kutorudishwa tena kwenye kundi.
 
Jinsi ya kujitoa na mtu (admin) kutoweza kukurudisha tena kwenye group.

Wakati wa kujitoa katika kundi fulani ni muhimu kufahamu kuwa WhatsApp haina kipengele cha kuzuia (block) group lisiwepo ila unaweza ukafanya yafuatayo kuepuka kurudishwa tena kwenye kundi:-
 
Tunza (save) namba za simu za admin wote wa kundi/makundi unayotaka kutoka na kisha sitisha mawasiliano nao kwenye WhatsApp kwa lugha rahisi ni kwamba wablock.
Ingia kwenye group husika ambalo unataka kutoka kisha bonyeza sehemu ya juu kabisa kwenye jina la group ili kuweza kuona taarifa za kina kuhusu kundi hilo. Mwisho kabisa wa taarifa za kundi bonyeza “Exit this group“.
 
Kuna njia mbili za kufungua WhatsApp kwa haraka zaidi kwenye kivinjari cha Google Chrome: Kupitia ‘Bookmarks’ (kumbukumbu) na kupitia njia fupi zaidi ya kuweka ‘short-cut’ kwenye ‘task-bar’, start-menu na kwenye desktop pia.

Kupitia Bookmarks

Uwapo kwenye web.whatsapp.com, bonyeza ‘ctrl’ + ‘D’na katika kisehemu cha Jina weka whatsApp. Unapoandika WhatsApp tena kwenye kisehemu cha anuani, Google Chrome itakumbuka kurasa ya whatsapp na kukupa urahisi wa kuifungua app hiyo.
Tazama picha hapa chini.
 
Ni wazi kwamba hakuna anayependa kununua simu janja ambayo ni feki kwani inaumiza sana pale unapotumia hela nyingi kununua simu nzuri ukidhani ni orijino alafu unakuja kugundua ni feki.


Tecno wao wamejidhatiti kwa kuhakikisha simu zao zinajulikana kwa urahisi iwapo ni feki au si feki na ni nadra sana kusikia Tecno
 
Kupitia Shot-kati

Kupitia Shot-kati ya kwenye ‘taskbar’, ‘task-bar’, start-menu na kwenye desktop:
Ingia web.whatsapp.com. Uwapo kwenye kurasa hii, fungua ‘menu’ ya Chrome na shuka hadi kwenye zana zaidi (‘more tools’) na chagua ‘unda mikato ya programu’ (‘create application shortcuts’). Kisha chagua unataka shoti-kati yako ikae wapi kati ya Eneo-kazi (‘Desktop’), Menyu ya Kuanzia (‘Start menu’) au upau wa shughuli (‘task-bar’). Fuatilia picha hii hapa chini.
 
Ni wazi kwamba hakuna anayependa kununua simu janja ambayo ni feki kwani inaumiza sana pale unapotumia hela nyingi kununua simu nzuri ukidhani ni orijino alafu unakuja kugundua ni feki.


Tecno wao wamejidhatiti kwa kuhakikisha simu zao zinajulikana kwa urahisi iwapo ni feki au si feki na ni nadra sana kusikia Tecno
 
Back
Top Bottom