Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
wakilalamikia walanguzi wanaotengeneza simu feki zenye jina la Tecno. Ni Nigeria tu ndipo ambapo Tecno wamekubana na simu feki zenye jina la Tecno.
Nawezaje kujua iwapo Tecno yangu au betri lake ni feki au la?
Ni hatua chache lakini muhimu sana ambazo zitakuwezesha kujua iwapo simu yako aina ya Tecno ni feki au halisi. Fuata hatua hizi na utajua tu kama Tecno yako ni ‘yenyewe’ au feki.